Kituo cha Usalama na Faragha

Faragha

Pata maelezo zaidi kuhusu faragha

Angalia nyenzo za faragha hapa chini na utazame video kwenye ukurasa huu ili upate maelezo zaidi.

  1. Sera yetu ya Faragha ina maelezo zaidi kuhusu data ya binafsi tunayokusanya, jinsi tunavyoitumia na ni kwa nini tunaichakata.
  2. Sera yetu ya Vidakuzi ina maelezo kuhusu vidakuzi vinavyotumiwa na Spotify, jukumu vilivyo navyo katika kutusaidia kutoa hali bora iwezekanavyo ya matumizi na chaguo ulizonazo kuhusu mipangilio ya vidakuzi.
  3. Ukurasa wetu wa Usaidizi wa Spotify wa Faragha na Usalama hutoa usaidizi na majibu ya ziada kwa maswali yanayoulizwa mara kwa mara.

Kwa maswali au hoja zozote kuhusu faragha, wasiliana na Afisa wetu wa Ulinzi wa Data kupitia mojawapo ya njia hizi: