Premium Duo. Muziki kwa ajili ya watu wawili.

Akaunti mbili za Premium kwa wachumba wanaoishi kwenye nyumba moja.
Bila malipo kwa mwezi 1, Tsh 8,900 kwa mwezi baada ya hapo. Ghairi wakati wowote.

Vigezo na masharti yatatumika. Ofa ya mwezi 1 bila malipo haipatikani kwa watumiaji ambao wameshajaribu Premium. Kwa wachumba wanaoishi katika nyumba moja.

Sikiliza pamoja.
Sikiliza tofauti.

Mkitumia akaunti mbili tofauti mnaweza kufurahia muziki nyote wawili bila kuchukua awamu.

Thamani bora kwa wawili

Watu wawili, akaunti mbili tofauti za Spotify Premium kwa Tsh 8,900, zote katika bili moja.

 • Kwa nini ujisajili kwenye Premium Duo?

  • Pakua muziki. Sikiliza mahali popote.
  • Usikilizaji wa muziki bila matangazo.
  • Cheza wimbo wowote. Hata kwenye kifaa cha mkononi.
  • Ruka bila kikomo. Gusa tu kitufe cha "inayofuata".
 • Je, tayari unatumia Spotify Premium?

  Ukibadili ili uanze kutumia Duo, utaendelea kupata manufaa yako yote ya

  • Muziki
  • Orodha za kucheza
  • Mapendekezo

Premium Duo ni nini?

Premium Duo ni mpango wa punguzo kwa watu 2 wanaoishi pamoja.

hero_image

Ghairi wakati wowote

Ghairi usajili wa kila mwezi mtandaoni wakati wowote.

Ni rahisi kujisajili kwenye Premium Duo

 • Jiunge na Duo kwa kujisajili au kuingia katika akaunti ukitumia akaunti yako iliyopo.

 • Mwalike mtu unayeishi naye ajiunge kwenye Duo kupitia barua pepe, WhatsApp - yoyote inayokufaa.

 • Akubali mwaliko akiwa nyumbani, athibitishe anwani yake na atakuwa amemaliza - nyote mtatumia Duo. *

* Ni sharti muishi katika nyumba moja ili mtumie Premium Duo.

Una maswali?

Tuna majibu.

 • Tunashiriki akaunti, au tunapata kila mmoja akaunti yake?

  Kila mtu anayetumia mpango anapata akaunti yake mwenyewe ya Premium, hivyo huhitaji kushiriki au kutumia maelezo ya mwingine ya kuingia katika akaunti. Na kwa sababu mnatumia akaunti tofauti, mapendekezo ya muziki yanaendana na mambo yanayovutia mtu binafsi.

 • Tayari ninatumia Premium. Muziki wangu wote uliohifadhiwa utashughulikiwa vipi?

  Unaweza kujisajili utumie Duo ukitumia akaunti yako iliyopo ya Premium na uendelee kutumia muziki uliohifadhiwa, orodha za kucheza na mapendekezo yako yote.

 • Bili inatumikaje? Tunagawana gharama?

  Mtu anayenunua Duo atapokea bili moja kila mwezi.

 • Tunaweza kusikiliza tukiwa nyumbani tu?

  Unaweza kusikiliza wakati wowote. Baada ya kuthibitisha kuwa mnaishi katika nyumba moja, nyote mnaweza kutumia akaunti zenu za Spotify popote mnapotaka, kwenye kifaa chochote.

Premium Duo. Muziki kwa ajili ya watu wawili.

Akaunti mbili za Premium kwa wachumba wanaoishi kwenye nyumba moja.
Bila malipo kwa mwezi 1, Tsh 8,900 kwa mwezi baada ya hapo. Ghairi wakati wowote.

Vigezo na masharti yatatumika. Ofa ya mwezi 1 bila malipo haipatikani kwa watumiaji ambao wameshajaribu Premium. Kwa wachumba wanaoishi katika nyumba moja.