Mpango wa binafsi pekee. Tsh 6,900 kwa mwezi baada ya hapo. Vigezo na masharti yatatumika. Inatumika tu kwa watumiaji ambao hawajajaribu Premium. Ofa itaisha 14/05/2024.
Furahia tofauti
Jisajili kwenye Premium ili ufurahie udhibiti kamili wa usikilizaji wako. Ghairi wakati wowote.
Utakachopata
Kifurushi Kisicholipishwa cha Spotify
Premium
Sikiliza muziki bila matangazo
Pakua ili usikilize nje ya mtandao
Cheza nyimbo katika mpangilio wowote
Ubora wa juu wa sauti
Sikiliza pamoja na marafiki, katika wakati halisi
Panga foleni ya kusikiliza
Vifurushi vya bei nafuu kwa hali yoyote
Chagua kifurushi cha Premium ili usikilize muziki bila kikomo, bila matangazo kwenye simu, spika na vifaa vyako vingine. Lipa kwa kutumia njia mbalimbali. Ghairi wakati wowote.
Bila malipo kwa miezi 3, kisha TSh 6,900 kwa mwezi baada ya hapo. Ofa inapatikana kwa watumiaji ambao hawajajaribu Premium. Masharti yatatumika. Ofa itaisha 14 Mei 2024.
Bila malipo kwa mwezi 1, kisha TSh 3,500 kwa mwezi baada ya hapo. Ofa inapatikana tu kwa wanachuo katika taasisi ya elimu ya juu iliyothibitishwa na iwapo hujawahi kujaribu Premium. Masharti yatatumika.
Ikiwa hujawahi kutumia Premium hapo awali, huenda ukastahiki kupata jaribio lisilolipishwa (au punguzo la bei).Kwa majaribio yasiyolipishwa, bado unahitaji kuweka njia sahihi ya kulipa ili ujisajili. Tutaitumia kuthibitisha nchi au eneo lako na kukutoza iwapo ungependa kuendelea kutumia Premium baada ya kipindi cha ofa kuisha. Tutakutumia kikumbusho siku 7 kabla ya jaribio lako kuisha. Vikwazo vya nchi na masharti yatatumika.
Ninawezaje kughairi kifurushi changu cha Premium?
Unaweza kughairi kwa urahisi kifurushi chako cha Premium wakati wowote mtandaoni kwenye ukurasa wa akaunti yako. Utaendelea kutumia kifurushi chako cha Premium hadi tarehe yako inayofuata ya malipo, kisha akaunti yako itabadilishwa ili utumie kifurushi chetu kisicholipishwa.
Utaendelea kutumia orodha zote za kucheza, muziki uliohifadhi na utaendelea kusikiliza muziki na matangazo wakati akaunti unayotumia hailipishwi.
Je, Kifurushi cha Premium Duo kinafanyaje kazi?
Premium Duo ni kifurushi cha wachumba wanaoishi pamoja. Ina bei nafuu zaidi ikilinganishwa na kutumia akaunti mbili zinazotozwa bei kamili za Premium ya Binafsi. Tutawaomba anwani yenu ili kuhakikisha mnaishi pamoja. Unaweza kualika mshiriki kwenye kifurushi mara baada tu ya ununuzi. Kila mshiriki atakuwa na akaunti yake tofauti ya Premium na anaweza kusikiliza kwa wakati mmoja akitumia akaunti yake mwenyewe. Muziki na orodha zote za kucheza atakazohifadhi ni zake mwenyewe. Mmiliki mwingine wa akaunti hataweza kuona unachosikiliza.
Je, kifurushi cha Premium ya Familia kinafanyaje kazi?
Premium ya Familia ni kifurushi kwa hadi wanafamilia 6 wanaoishi pamoja. Ina bei nafuu zaidi ikilinganishwa na kila mtu akitumia akaunti yake mwenyewe inayotozwa bei kamili ya Premium ya Binafsi. Tutawaomba anwani yenu ili kuhakikisha mnaishi pamoja. Unaweza kualika washiriki kwenye kifurushi mara baada tu ya ununuzi. Kila mshiriki atakuwa na akaunti yake tofauti ya Premium na anaweza kusikiliza kwa wakati mmoja akitumia akaunti yake mwenyewe. Muziki na orodha zote za kucheza atakazohifadhi ni zake mwenyewe. Wamiliki wengine wa akaunti hawawezi kuona unachosikiliza.
Je, Kifurushi cha Premium ya Mwanachuo kinafanyaje kazi?
Ikiwa wewe ni mwanafunzi aliyejiandikisha katika chuo au chuo kikuu kilichothibitishwa, na una zaidi ya umri wa miaka 18, ndiyo. Unaweza kupata mpango wa Premium ya Mwanachuo kwa hadi miaka 4.
Bei za Spotify Premium nchini Tanzania zinatofautiana kulingana na kifurushi cha Premium unachochagua: Kifurushi cha Spotify cha Premium ya Binafsi kinagharimu TSh 6,900 kwa mwezi, kifurushi cha Premium Duo kinagharimu TSh 8,900 kwa mwezi, kifurushi cha Premium ya Familia kinagharimu TSh 10,900 kwa mwezi, kifurushi cha Premium ya Mwanachuo kinagharimu TSh 3,500 kwa mwezi. Ikiwa hujawahi kutumia Premium hapo awali, huenda ukastahiki kupata jaribio lisilolipishwa (au punguzo la bei). Vikwazo vya nchi na masharti yatatumika.