Cheza mamilioni ya nyimbo na podikasti, bila malipo.

PATA SPOTIFY BILA MALIPO

Kwa nini utumie Spotify?

Cheza nyimbo unazopenda.

Sikiliza nyimbo unazopenda, na ugundue muziki na podikasti mpya.

Orodha za kucheza zimerahisishwa.

Tutakusaidia kutengeneza orodha za kucheza. Au furahia orodha za kucheza zilizotengenezwa na wataalamu wa muziki.

Iwekee mapendeleo.

Tueleze unachopenda na tutakupendekezea muziki.

Okoa data ya mtandao wa simu.

Ili utumie data kidogo unapocheza muziki, washa Kiokoa Data kwenye Mipangilio.

Hulipishwi.

Huhitaji kadi ya mikopo.

Una maswali?

Orodha za kucheza ni njia nzuri ya kuhifadhi mikusanyiko ya muziki, kwa ajili ya kusikiliza wewe mwenyewe au kushiriki.

Ili uitengeneze:

  1. Gusa Maktaba yako.
  2. Gusa UNDA.
  3. Ipe orodha yako ya kucheza jina.
  4. Anza kuweka nyimbo (na tutakusaidia unapoendelea).

  1. Gusa Mwanzo.
  2. Gusa Mipangilio.
  3. Gusa Kiokoa Data.
  4. Washa Kiokoa Data.

Orodha yoyote ya kucheza yenye aikoni ya changanya ya itacheza kwa kuchanganya.

Baadhi ya orodha za kucheza hazitakuwa na aikoni ya changanya, hivyo unaweza kugusa wimbo wowote ili uucheze.

Gusa Tafuta . Chini ya Vinjari Zote, gusa Podikasti.

Uko tayari? Tucheze.

PATA SPOTIFY BILA MALIPO