Furahia tofauti

Jisajili kwenye Premium ili ufurahie udhibiti kamili wa usikilizaji wako. Ghairi wakati wowote.

Utakachopata
Kifurushi Kisicholipishwa cha
Spotify
Vifurushi vya Spotify
Premium
Sikiliza muziki bila matangazo
Pakua ili usikilize nje ya mtandao
Cheza nyimbo katika mpangilio wowote
Ubora wa juu wa sauti
Sikiliza pamoja na marafiki, katika wakati halisi
Panga foleni ya kusikiliza

Vifurushi vya bei nafuu kwa hali yoyote

Chagua kifurushi cha Premium ili usikilize muziki bila kikomo, bila matangazo kwenye simu, spika na vifaa vyako vingine. Lipa kwa kutumia njia mbalimbali. Ghairi wakati wowote.

  • Bila malipo kwa mwezi 1
Premium

Binafsi

Bila malipo kwa mwezi 1

UGX 10,000 kila mwezi baada ya hapo


  • Akaunti 1 ya Premium

  • Ghairi wakati wowote

  • Kujisajili au malipo ya mara moja

Premium

Binafsi

Lipa mara moja mapema, ongeza salio unapohitaji. Haisasishwi kiotomatiki.

Bei sawa inaonyesha gharama ikigawanywa kwa idadi ya miezi husika kama mwongozo tu. Bei ya kulipia mapema inatumika.

Ofa inapatikana kwa watumiaji ambao hawajajaribu Premium. Masharti yatatumika.
Bila malipo kwa mwezi 1, kisha UGX 10,000 kwa mwezi baada ya hapo.

  • Bila malipo kwa mwezi 1
Premium

Mwanachuo

Bila malipo kwa mwezi 1

UGX 5,000 kila mwezi baada ya hapo


  • Akaunti 1 ya Premium iliyothibitishwa

  • Punguzo la wanachuo wanaotimiza masharti

  • Ghairi wakati wowote

  • Kujisajili au malipo ya mara moja

Ofa inapatikana tu kwa wanachuo katika taasisi ya elimu ya juu iliyothibitishwa na iwapo hujawahi kujaribu Premium. Masharti yatatumika.
Bila malipo kwa mwezi 1, kisha UGX 5,000 kwa mwezi baada ya hapo.

Premium

Duo

UGX 13,000 kwa mwezi


  • Akaunti 2 za Premium

  • Ghairi wakati wowote

Kwa wachumba wanaoishi katika nyumba moja. Masharti yatatumika.

Premium

Familia

UGX 16,000 kwa mwezi


  • Hadi akaunti 6 za Premium

  • Dhibiti maudhui yaliyowekewa lebo kuwa ni dhahiri

  • Ghairi wakati wowote

Kwa hadi wanafamilia 6 wanaioshi katika nyumba moja. Masharti yatatumika.

Una maswali?

Tuna majibu.

Pata majibu zaidi katika tovuti yetu ya usaidizi.

  • Je, jaribio la Spotify Premium linafanyaje kazi?

    Ikiwa hujawahi kutumia Premium hapo awali, huenda ukastahiki kupata jaribio lisilolipishwa (au punguzo la bei).

    Kwa majaribio yasiyolipishwa, bado unahitaji kuweka njia sahihi ya kulipa ili ujisajili. Tutaitumia kuthibitisha nchi au eneo lako na kukutoza iwapo ungependa kuendelea kutumia Premium baada ya kipindi cha ofa kuisha.

    Tutakutumia kikumbusho siku 7 kabla ya jaribio lako kuisha. Vikwazo vya nchi na masharti yatatumika.

  • Ninawezaje kughairi kifurushi changu cha Premium?

    Unaweza kughairi kwa urahisi kifurushi chako cha Premium wakati wowote mtandaoni kwenye ukurasa wa akaunti yako. Utaendelea kutumia kifurushi chako cha Premium hadi tarehe yako inayofuata ya malipo, kisha akaunti yako itabadilishwa ili utumie kifurushi chetu kisicholipishwa.

    Utaendelea kutumia orodha zote za kucheza, muziki uliohifadhi na utaendelea kusikiliza muziki na matangazo wakati akaunti unayotumia hailipishwi.

  • Je, Kifurushi cha Premium Duo kinafanyaje kazi?

    Premium Duo ni kifurushi cha wachumba wanaoishi pamoja. Ina bei nafuu zaidi ikilinganishwa na kutumia akaunti mbili zinazotozwa bei kamili za Premium ya Binafsi. Tutawaomba anwani yenu ili kuhakikisha mnaishi pamoja. Unaweza kualika mshiriki kwenye kifurushi mara baada tu ya ununuzi. Kila mshiriki atakuwa na akaunti yake tofauti ya Premium na anaweza kusikiliza kwa wakati mmoja akitumia akaunti yake mwenyewe. Muziki na orodha zote za kucheza atakazohifadhi ni zake mwenyewe. Mmiliki mwingine wa akaunti hataweza kuona unachosikiliza.

    Pata maelezo zaidi kuhusu Premium Duo.

  • Je, kifurushi cha Premium ya Familia kinafanyaje kazi?

    Premium ya Familia ni kifurushi kwa hadi wanafamilia 6 wanaoishi pamoja. Ina bei nafuu zaidi ikilinganishwa na kila mtu akitumia akaunti yake mwenyewe inayotozwa bei kamili ya Premium ya Binafsi. Tutawaomba anwani yenu ili kuhakikisha mnaishi pamoja. Unaweza kualika washiriki kwenye kifurushi mara baada tu ya ununuzi. Kila mshiriki atakuwa na akaunti yake tofauti ya Premium na anaweza kusikiliza kwa wakati mmoja akitumia akaunti yake mwenyewe. Muziki na orodha zote za kucheza atakazohifadhi ni zake mwenyewe. Wamiliki wengine wa akaunti hawawezi kuona unachosikiliza.

    Pata maelezo zaidi kuhusu Premium ya Familia.

  • Je, Kifurushi cha Premium ya Mwanachuo kinafanyaje kazi?

    Ikiwa wewe ni mwanafunzi aliyejiandikisha katika chuo au chuo kikuu kilichothibitishwa, na una zaidi ya umri wa miaka 18, ndiyo. Unaweza kupata mpango wa Premium ya Mwanachuo kwa hadi miaka 4.

    Pata maelezo zaidi kuhusu Premium ya Mwanachuo.

  • Je, Spotify Premium ni bei gani nchini Uganda?

    Bei za Spotify Premium nchini Uganda zinatofautiana kulingana na kifurushi cha Premium unachochagua: Kifurushi cha Spotify cha Premium ya Binafsi kinagharimu UGX 10,000 kwa mwezi, kifurushi cha Premium Duo kinagharimu UGX 13,000 kwa mwezi, kifurushi cha Premium ya Familia kinagharimu UGX 16,000 kwa mwezi, kifurushi cha Premium ya Mwanachuo kinagharimu UGX 5,000 kwa mwezi. Ikiwa hujawahi kutumia Premium hapo awali, huenda ukastahiki kupata jaribio lisilolipishwa (au punguzo la bei). Vikwazo vya nchi na masharti yatatumika.