Cheza mamilioni ya nyimbo, bila malipo

Kwa nini utumie Spotify?

  • Cheza nyimbo unazopenda

    Sikiliza nyimbo unazopenda, na ugundue muziki mpya.

  • Orodha za kucheza zimerahisishwa

    Tutakusaidia kutengeneza orodha za kucheza. Au furahia orodha za kucheza zilizotengenezwa na wataalamu wa muziki.

  • Yawekee mapendeleo

    Tueleze unachopenda na tutakupendekezea muziki.

  • Okoa data ya mtandao wa simu

    Ili utumie data kidogo unapocheza muziki, washa Kiokoa Data kwenye Mipangilio.

Hulipishwi. Huhitaji kadi ya benki.

Una maswali?

  • Ninatengenezaje orodha ya kucheza?

    Orodha za kucheza ni njia nzuri ya kuhifadhi mikusanyiko ya muziki, kwa ajili ya kusikiliza wewe mwenyewe au kushiriki.

    Ili kuiunda:

    1. Gusa Maktaba Yako.
    2. Gusa UNDA.
    3. Ipe orodha yako ya kucheza jina.
    4. Anza kuongeza nyimbo (na tutakusaidia kufanya hivyo).

  • Ninawashaje Kiokoa Data?

    1. Gusa Mwanzo.
    2. Gusa Mipangilio.
    3. Gusa Kiokoa Data.
    4. Washa Kiokoa Data.

Uko tayari? Tucheze.