Sikiliza muziki bila matangazo
Soma mpaka machweo. Cheza dansi mpaka alfajiri.
Sikiliza nje ya mtandao
Usiwahi kuwa na wasiwasi kuhusu data tena, popote ulipo.
Muziki kwa kila tukio
Mamilioni ya nyimbo, orodha murua za kucheza.
Inavutia kusikiliza
Premium huleta ubora zaidi wa sauti katika kila wimbo.
Ikiwa wewe ni mwanafunzi aliyejiandikisha katika chuo au chuo kikuu kilichothibitishwa, na una zaidi ya umri wa miaka 18, ndiyo. Unaweza kupata mpango wa Premium ya Mwanachuo kwa hadi miaka 4.
Tunathibitisha hali yako ya kujiandikisha chuoni kupitia huduma ya wengine inayoitwa SheerID. Pata maelezo zaidi.
Utaendelea kufikia Premium ya Mwanachuo, kwa hadi miezi 12 kuanzia tarehe uliyojisajili au kuthibitishwa tena mara ya mwisho, wakati mpango bado upo. Ikiwa hutakuwa mwanachuo ifikapo mwisho wa kipindi hicho, hutatimiza tena masharti ya kutumia Premium ya Mwanachuo. Usajili wako utabadilishwa kiotomatiki na kuwa mpango wa Premium ya Binafsi kwa UGX 10,000 kwa mwezi.
Utatozwa UGX 5,000 kwa mwezi. Iwapo bei itabadilika katika siku za usoni, tutakufahamisha. Unaweza kughairi wakati wowote kwenye ukurasa wa Akaunti yako ya Spotify.