Get 3 months of Premium for Ksh 369.00 with mPesa
Enjoy ad-free music listening with Spotify Premium, offer ends 20/07/2025
Premium ya Binafsi pekee. Masharti yatatumika.
Premium ya Binafsi pekee. Masharti yatatumika.
Utakachopata | Kifurushi Kisicholipishwa cha Spotify | Vifurushi vya Spotify Premium |
---|---|---|
Sikiliza muziki bila matangazo | ||
Pakua ili usikilize nje ya mtandao | ||
Cheza nyimbo katika mpangilio wowote | ||
Ubora wa juu wa sauti | ||
Sikiliza pamoja na marafiki, katika wakati halisi | ||
Panga foleni ya kusikiliza |
Akaunti 1 ya Premium
Ghairi wakati wowote
Kujisajili au malipo ya mara moja
Ofa inapatikana kwa watumiaji ambao hawajajaribu Premium. Masharti yatatumika.
Ksh 0 kwa mwezi 1, kisha Ksh 339 kwa mwezi baada ya hapo.
Akaunti 1 ya Premium iliyothibitishwa
Punguzo la wanachuo wanaotimiza masharti
Ghairi wakati wowote
Kujisajili au malipo ya mara moja
Ofa inapatikana tu kwa wanachuo katika taasisi ya elimu ya juu iliyothibitishwa na iwapo hujawahi kujaribu Premium. Masharti yatatumika.
Ksh 0 kwa mwezi 1, kisha Ksh 169 kwa mwezi baada ya hapo.
Akaunti 2 za Premium
Ghairi wakati wowote
Kujisajili au malipo ya mara moja
Kwa wachumba wanaoishi katika nyumba moja. Masharti yatatumika.
Hadi akaunti 6 za Premium
Dhibiti maudhui yaliyowekewa lebo kuwa ni dhahiri
Ghairi wakati wowote
Kujisajili au malipo ya mara moja
Kwa hadi wanafamilia 6 wanaioshi katika nyumba moja. Masharti yatatumika.
Tuna majibu.
Pata majibu zaidi katika tovuti yetu ya usaidizi.
Ikiwa hujawahi kutumia Premium hapo awali, huenda ukastahiki kupata jaribio lisilolipishwa (au punguzo la bei).Kwa majaribio yasiyolipishwa, bado unahitaji kuweka njia sahihi ya kulipa ili ujisajili. Tutaitumia kuthibitisha nchi au eneo lako na kukutoza iwapo ungependa kuendelea kutumia Premium baada ya kipindi cha ofa kuisha. Tutakutumia kikumbusho siku 7 kabla ya jaribio lako kuisha. Vikwazo vya nchi na masharti yatatumika.
Unaweza kughairi kwa urahisi kifurushi chako cha Premium wakati wowote mtandaoni kwenye ukurasa wa akaunti yako.
Usajili unaolipishwa wa Premium unapoghairiwa, utaendelea kutumika hadi tarehe yako inayofuata ya malipo, kisha akaunti yako itabadilishwa ili utumie huduma yetu isiyolipishwa.
Ukighairi wakati wa kipindi cha jaribio lisilolipishwa, utapoteza uwezo wa kufikia manufaa ya Premium mara moja na akaunti yako itabadilishwa ili utumie huduma yetu isiyolipishwa. Majaribio yasiyolipishwa hayaweza kutumiwa zaidi ya mara moja.
Bado utaendelea kufikia orodha za kucheza na muziki wako wote uliohifadhi, na utaweza kusikiliza na matangazo kwenye huduma yetu isiyolipishwa.
Premium Duo ni kifurushi cha wachumba wanaoishi pamoja. Ina bei nafuu zaidi ikilinganishwa na kutumia akaunti mbili zinazotozwa bei kamili za Premium ya Binafsi. Tutawaomba anwani yenu ili kuhakikisha mnaishi pamoja. Unaweza kualika mshiriki kwenye kifurushi mara baada tu ya ununuzi. Kila mshiriki atakuwa na akaunti yake tofauti ya Premium na anaweza kusikiliza kwa wakati mmoja akitumia akaunti yake mwenyewe. Muziki na orodha zote za kucheza atakazohifadhi ni zake mwenyewe. Mmiliki mwingine wa akaunti hataweza kuona unachosikiliza.
Pata maelezo zaidi kuhusu Premium Duo.
Muziki na orodha zote za kucheza atakazohifadhi ni zake mwenyewe. Wamiliki wengine wa akaunti hawawezi kuona unachosikiliza. Kila mshiriki atakuwa na akaunti yake tofauti ya Premium na anaweza kusikiliza kwa wakati mmoja akitumia akaunti yake mwenyewe. Unaweza kualika washiriki kwenye kifurushi mara baada tu ya ununuzi. Tutawaomba anwani yenu ili kuhakikisha mnaishi pamoja. Ina bei nafuu zaidi ikilinganishwa na kila mtu akitumia akaunti yake mwenyewe inayotozwa bei kamili ya Premium ya Binafsi. Premium ya Familia ni kifurushi kwa hadi wanafamilia 6 wanaoishi pamoja.
Soma maelezo zaidi kuhusu Premium ya Familia.
Ikiwa wewe ni mwanafunzi aliyejiandikisha katika chuo au chuo kikuu kilichothibitishwa, na una zaidi ya umri wa miaka 18, ndiyo. Unaweza kupata mpango wa Premium ya Mwanachuo kwa hadi miaka 4.
Pata maelezo zaidi kuhusu Premium ya Mwanachuo.
Bei za Spotify Premium nchini Kenya zinatofautiana kulingana na kifurushi cha Premium unachochagua: Kifurushi cha Spotify cha Premium ya Binafsi kinagharimu Ksh 339 kwa mwezi, kifurushi cha Premium Duo kinagharimu Ksh 439 kwa mwezi, kifurushi cha Premium ya Familia kinagharimu Ksh 549 kwa mwezi, kifurushi cha Premium ya Mwanachuo kinagharimu Ksh 169 kwa mwezi. Ikiwa hujawahi kutumia Premium hapo awali, huenda ukastahiki kupata jaribio lisilolipishwa (au punguzo la bei). Vikwazo vya nchi na masharti yatatumika.