Kwa nini utumie Spotify?

 • Cheza nyimbo unazopenda.

  Sikiliza nyimbo unazopenda, na ugundue muziki na podikasti mpya.

 • Orodha za kucheza zimerahisishwa.

  Tutakusaidia kutengeneza orodha za kucheza. Au furahia orodha za kucheza zilizotengenezwa na wataalamu wa muziki.

 • Iwekee mapendeleo.

  Tueleze unachopenda na tutakupendekezea muziki.

 • Okoa data ya mtandao wa simu.

  Ili utumie data kidogo unapocheza muziki, washa Kiokoa Data kwenye Mipangilio.

Hulipishwi.

Huhitaji kadi ya benki.

Una maswali?

 • Ninatengenezaje orodha ya kucheza?

  Orodha za kucheza ni njia nzuri ya kuhifadhi mikusanyiko ya muziki, kwa ajili ya kusikiliza wewe mwenyewe au kushiriki.

  Ili kuiunda:

  1. Gusa Maktaba Yako.
  2. Gusa UNDA.
  3. Ipe orodha yako ya kucheza jina.
  4. Anza kuongeza nyimbo (na tutakusaidia kufanya hivyo).

 • Ninawashaje Kiokoa Data?

  1. Gusa Mwanzo.
  2. Gusa Mipangilio.
  3. Gusa Kiokoa Data.
  4. Washa Kiokoa Data.

 • Naweza tu kucheza muziki kwa kuchanganya?

  Orodha yoyote ya kucheza yenye aikoni ya changanya itacheza kwa kuchanganya.

  Baadhi ya orodha za kucheza hazitakuwa na aikoni ya changanya, hivyo unaweza kugusa wimbo wowote ili uucheze.

 • Ninaweza kupata Podikasti wapi?

  Gusa Tafuta. Chini ya Vinjari Zote, gusa Podikasti.