Sikiliza bila kikomo. Jaribu Premium ya Binafsi kwa mwezi 1 kwa Ksh 0.

Ksh 339 tu kwa kwa mwezi baada ya hapo. Ghairi wakati wowote.

Ofa inapatikana kwa watumiaji ambao hawajajaribu Premium. Masharti yatatumika.
Ksh 0 kwa mwezi 1, kisha Ksh 339 kwa mwezi baada ya hapo.

Furahia tofauti

Jisajili kwenye Premium ili ufurahie udhibiti kamili wa usikilizaji wako. Ghairi wakati wowote.

Utakachopata
Kifurushi Kisicholipishwa cha
Spotify
Vifurushi vya Spotify
Premium
Sikiliza muziki bila matangazo
Pakua ili usikilize nje ya mtandao
Cheza nyimbo katika mpangilio wowote
Ubora wa juu wa sauti
Sikiliza pamoja na marafiki, katika wakati halisi
Panga foleni ya kusikiliza

Vifurushi vya bei nafuu kwa hali yoyote

Chagua kifurushi cha Premium ili usikilize muziki bila kikomo, bila matangazo kwenye simu, spika na vifaa vyako vingine. Lipa kwa kutumia njia mbalimbali. Ghairi wakati wowote.

  • Ksh 0 kwa mwezi 1
Premium

Binafsi

Ksh 0 kwa mwezi 1

Ksh 339 kila mwezi baada ya hapo


  • Akaunti 1 ya Premium

  • Ghairi wakati wowote

  • Kujisajili au malipo ya mara moja

Ofa inapatikana kwa watumiaji ambao hawajajaribu Premium. Masharti yatatumika.
Ksh 0 kwa mwezi 1, kisha Ksh 339 kwa mwezi baada ya hapo.

  • Ksh 0 kwa mwezi 1
Premium

Wanachuo

Ksh 0 kwa mwezi 1

Ksh 169 kila mwezi baada ya hapo


  • Akaunti 1 ya Premium iliyothibitishwa

  • Punguzo la wanachuo wanaotimiza masharti

  • Ghairi wakati wowote

  • Kujisajili au malipo ya mara moja

Ofa ni kwa ajili ya wanachuo waliojiandikisha katika taasisi ya elimu ya juu iliyothibitishwa. Haipatikani kwa watumiaji ambao tayari wamejaribu Premium. Inazingatia Vigezo na Masharti ya Punguzo la Wanachuo la Spotify.
Ksh 0 kwa mwezi 1, kisha Ksh 169 kwa mwezi baada ya hapo.

Premium

Duo

Ksh 439 kwa mwezi


  • Akaunti 2 za Premium

  • Ghairi wakati wowote

  • Kujisajili au malipo ya mara moja

Kwa wachumba wanaoishi katika nyumba moja. Masharti yatatumika.

Premium

Familia

Ksh 549 kwa mwezi


  • Hadi akaunti 6 za Premium

  • Dhibiti maudhui yaliyowekewa lebo kuwa ni dhahiri

  • Ghairi wakati wowote

  • Kujisajili au malipo ya mara moja

Kwa hadi wanafamilia 6 wanaioshi katika nyumba moja. Masharti yatatumika.

Una maswali?

Tuna majibu.

Pata majibu zaidi katika tovuti yetu ya usaidizi.

  • Je, jaribio la Spotify Premium linafanyaje kazi?

    Ikiwa hujawahi kutumia Premium hapo awali, huenda ukastahiki kupata jaribio lisilolipishwa (au punguzo la bei).

    Kwa majaribio yasiyolipishwa, bado unahitaji kuweka njia sahihi ya kulipa ili ujisajili. Tutaitumia kuthibitisha nchi au eneo lako na kukutoza iwapo ungependa kuendelea kutumia Premium baada ya kipindi cha ofa kuisha.

    Tutakutumia kikumbusho siku 7 kabla ya jaribio lako kuisha. Vikwazo vya nchi na masharti yatatumika.

  • Ninawezaje kughairi kifurushi changu cha Premium?

    Unaweza kughairi kwa urahisi kifurushi chako cha Premium wakati wowote mtandaoni kwenye ukurasa wa akaunti yako.

    Usajili unaolipishwa wa Premium unapoghairiwa, utaendelea kutumika hadi tarehe yako inayofuata ya malipo, kisha akaunti yako itabadilishwa ili utumie huduma yetu isiyolipishwa.

    Ukighairi wakati wa kipindi cha jaribio lisilolipishwa, utapoteza uwezo wa kufikia manufaa ya Premium mara moja na akaunti yako itabadilishwa ili utumie huduma yetu isiyolipishwa. Majaribio yasiyolipishwa hayaweza kutumiwa zaidi ya mara moja.

    Bado utaendelea kufikia orodha za kucheza na muziki wako wote uliohifadhi, na utaweza kusikiliza na matangazo kwenye huduma yetu isiyolipishwa.

  • Je, Kifurushi cha Premium Duo kinafanyaje kazi?

    Premium Duo ni kifurushi cha wachumba wanaoishi pamoja. Ina bei nafuu zaidi ikilinganishwa na kutumia akaunti mbili zinazotozwa bei kamili za Premium ya Binafsi. Tutawaomba anwani yenu ili kuhakikisha mnaishi pamoja. Unaweza kualika mshiriki kwenye kifurushi mara baada tu ya ununuzi. Kila mshiriki atakuwa na akaunti yake tofauti ya Premium na anaweza kusikiliza kwa wakati mmoja akitumia akaunti yake mwenyewe. Muziki na orodha zote za kucheza atakazohifadhi ni zake mwenyewe. Mmiliki mwingine wa akaunti hataweza kuona unachosikiliza.

    Pata maelezo zaidi kuhusu Premium Duo.

  • Je, kifurushi cha Premium ya Familia kinafanyaje kazi?

    Muziki na orodha zote za kucheza atakazohifadhi ni zake mwenyewe. Wamiliki wengine wa akaunti hawawezi kuona unachosikiliza. Kila mshiriki atakuwa na akaunti yake tofauti ya Premium na anaweza kusikiliza kwa wakati mmoja akitumia akaunti yake mwenyewe. Unaweza kualika washiriki kwenye kifurushi mara baada tu ya ununuzi. Tutawaomba anwani yenu ili kuhakikisha mnaishi pamoja. Ina bei nafuu zaidi ikilinganishwa na kila mtu akitumia akaunti yake mwenyewe inayotozwa bei kamili ya Premium ya Binafsi. Premium ya Familia ni kifurushi kwa hadi wanafamilia 6 wanaoishi pamoja.

    Soma maelezo zaidi kuhusu Premium ya Familia.

  • Je, Kifurushi cha Premium ya Mwanachuo kinafanyaje kazi?

    Ikiwa umejiandikisha katika taasisi ya elimu ya juu iliyothibitishwa ambayo imetimiza masharti ya kupata ofa, na una zaidi ya miaka 18. Unaweza kupata mpango wa Premium ya Mwanachuo kwa hadi miaka 4.

    Pata maelezo zaidi kuhusu Premium ya Mwanachuo.

  • Je, Spotify Premium ni bei gani nchini Kenya?

    Bei za Spotify Premium nchini Kenya zinatofautiana kulingana na kifurushi cha Premium unachochagua: Kifurushi cha Spotify cha Premium ya Binafsi kinagharimu Ksh 339 kwa mwezi, kifurushi cha Premium Duo kinagharimu Ksh 439 kwa mwezi, kifurushi cha Premium ya Familia kinagharimu Ksh 549 kwa mwezi, kifurushi cha Premium ya Wanachuo kinagharimu Ksh 169 kwa mwezi. Ikiwa hujawahi kutumia Premium hapo awali, huenda ukastahiki kupata jaribio lisilolipishwa (au punguzo la bei). Vikwazo vya nchi na masharti yatatumika.