Ingia katika ulimwengu wa hadithi nzuri.

Gundua vitabu vya kusikiliza kwenye Spotify. Tuna vitabu vinavyouzwa sana, kazi asili, vitabu vinavyovuma na vingine vingi, katika kila aina.

Pata saa za kusikiliza kila mwezi kwa kutumia nyongeza ya Audiobooks+.

Audiobooks+ ni usajili unaolipiwa Ksh 489 kwa mwezi baada ya jaribio, unaotozwa pamoja na vifurushi vya Premium vinavyotimiza masharti. Saa za nyongeza ambazo hazijatumika huacha kutumika kila mwisho wa mwezi husika. Masharti yanatumika.

Vitabu vya kusikiliza kwenye Spotify

  • Mahali pamoja kwa usikilizaji wako wote

    Vitabu vya kusikiliza huonekana karibu kabisa na muziki na podikasti. Sikiliza kwenye vifaa vyote na usipitwe na neno hata moja ukiwa safarini au nyumbani.

  • Saa za kusikiliza za kila mwezi

    Ukiwa na nyongeza ya Audiobooks+, utapata saa za kusikiliza kila mwezi ili ucheze vitabu katika katalogi yetu ya waliojisajili. Saa huwekwa upya kila mwezi.

  • Mamia ya maelfu ya vitabu

    Kuanzia vitabu vya kitambo hadi matoleo mapya ya kila aina, tafuta kitabu chako kinachofuata cha kusoma kwenye Spotify.

Audiobooks+

Kusikiliza vitabu vya kusikiliza, kila mwezi

Ukiwa na Audiobooks+, pata saa 15 za kusikiliza vitabu vya kusikiliza zikiwa zimewekwa kwenye akaunti yako kila mwezi.

Jaribu mwezi 1 bila malipo leo. Ksh 489kwa mwezi. Baada ya hapo, ghairi wakati wowote.

Watumiaji wapya waliojisajili kwenye Audiobooks+ pekee. Audiobooks+ ni usajili unaolipiwa Ksh 489 kwa mwezi baada ya kipindi cha jaribio, unaotozwa pamoja na usajili wa kifurushi chako cha Premium. Unaweza kughairi Audiobooks+ wakati wowote bila kughairi kifurushi chako cha Premium, lakini ukighairi kifurushi chako cha Premium, nyongeza zote ambazo unatumia zitaghairiwa pia. Saa za nyongeza ambazo hazijatumika huacha kutumika kila mwisho wa mwezi husika. Kwa maelezo zaidi, tafadhali soma Masharti yetu ya Usajili Unaolipiwa.

Jinsi ya kupata vitabu vya kusikiliza kwenye Spotify

  • Nina kifurushi changu cha Premium

    Unaweza kununua Audiobooks+ ili kupata ufikiaji wa katalogi yetu ya wasajili.

    ✓ Saa zako husasishwa kila mwezi kwenye tarehe yako ya malipo; saa zozote usizotumia huisha muda wake wa matumizi na hazihamishiwi mwezi unaofuata.
    ✓ Saa zinaweza kutumika kwenye vitabu vyovyote katika katalogi yetu ya waliojisajili.
    ✓ Unaweza kuongeza Audiobooks+ ili kupata saa zaidi za kusikiliza kila mwezi.
    ✓ Unaweza kununua saa zaidi za mara moja, au ununue uwezo wa kufikia vitabu binafsi.

    Haya yote yanatumika ikiwa wewe ni msimamizi wa kifurushi cha Premium ya Familia au Duo, lakini kumbuka kuwa saa zilizojumuishwa ni za akaunti yako tu, hazishirikiwi na washiriki wa kifurushi.

    Pata maelezo zaidi.

  • Niko kwenye kifurushi cha Premium ya Familia au Duo cha mtu mwingine

    Unaweza kuomba muda wa kusikiliza kitabu kutoka kwa msimamizi wako wa kifurushi kwa kutumia nyongeza ya Audiobooks+.

    ✓ Msimamizi wako wa kifurushi anaweza kukupa ufikiaji wa muda wa kusikiliza kitabu kupitia nyongeza ya Audiobooks+.
    ✓ Unaweza kununua saa zaidi za mara moja, au kununua ufikiaji wa vitabu binafsi.
    ✓ Unaweza kusikiliza sampuli ya kitabu chochote cha kusikiliza bila malipo.

    Omba Audiobooks+ kutoka kwa msimamizi wako wa kifurushi.

  • Niko kwenye Premium ya Mwanachuo

    Premium ya Mwanachuo haijumuishi saa za kusikiliza vitabu vya kusikiliza.

    ✓ Unaweza kununua ufikiaji wa vitabu binafsi.
    ✓Unaweza kusikiliza sampuli ya kitabu chochote cha kusikiliza bila malipo.

  • Natumia kifurushi kisicholipishwa cha Spotify, kinachoonyesha matangazo

    Unaweza kununua Audiobooks+ ili upate ufikiaji wa katalogi yetu ya usajili.

    ✓ Unaweza kununua ufikiaji wa vitabu binafsi.
    ✓Unaweza kusikiliza sampuli ya kitabu chochote cha kusikiliza bila malipo.

    Pia unaweza kuongeza Audiobooks+ kwenye mpango wako wa bila malipo ili upate saa za kusikiliza za kila mwezi na ufikie katalogi yetu ya wasajili.