Sisimua masomo yako
Sikiliza muziki bila matangazo
Soma mpaka machweo. Cheza dansi mpaka alfajiri.
Sikiliza nje ya mtandao
Usiwahi kuwa na wasiwasi kuhusu data tena, popote ulipo.
Muziki kwa kila tukio
Mamilioni ya nyimbo, orodha murua za kucheza.
Inavutia kusikiliza
Premium huleta ubora zaidi wa sauti katika kila wimbo.
Una maswali?
Tuna majibu
- Je, nimetimiza masharti ya mpango huu?
Ndiyo, ikiwa umejiandikisha katika taasisi ya elimu ya juu iliyothibitishwa ambayo imetimiza masharti ya kupata ofa, na una zaidi ya miaka 18. Unaweza kupata mpango wa Premium ya Mwanachuo kwa hadi miaka 4.
- Unathibitishaje hali yangu ya mwanachuo?
Tunathibitisha hali yako ya mwanachuo na ustahiki wa taasisi yako kupitia huduma ya mtu wa tatu inayoitwa SheerID. Pata maelezo zaidi.
- Nini kitafanyika kuhusu akaunti yangu nitakapohitimu au kuacha chuo?
Utaendelea kufikia Premium ya Mwanachuo, kwa hadi miezi 12 kuanzia tarehe uliyojisajili au kuthibitishwa tena mara ya mwisho, wakati mpango bado upo. Ikiwa hutakuwa mwanachuo ifikapo mwisho wa kipindi hicho, hutatimiza tena masharti ya kutumia Premium ya Mwanachuo. Usajili wako utabadilishwa kiotomatiki na kuwa mpango wa Premium ya Binafsi kwa $ 3.29 kwa mwezi.
- Nitatozwa kiasi gani na lini?
Utatozwa $ 1.69 kwa mwezi. Iwapo bei itabadilika katika siku za usoni, tutakufahamisha. Unaweza kughairi wakati wowote kwenye ukurasa wa Akaunti yako ya Spotify.