Furahia tofauti

Jisajili kwenye Premium ili ufurahie udhibiti kamili wa usikilizaji wako. Ghairi wakati wowote.

Utakachopata
Kifurushi Kisicholipishwa cha
Spotify
Vifurushi vya Spotify
Premium
Sikiliza muziki bila matangazo
not included
Pakua ili usikilize nje ya mtandao
not included
Cheza nyimbo katika mpangilio wowote
not included
Ubora wa juu wa sauti
not included
Sikiliza pamoja na marafiki, katika wakati halisi
not included
Panga foleni ya kusikiliza
not included

Vifurushi vya bei nafuu kwa hali yoyote

Chagua kifurushi cha Premium ili usikilize muziki bila kikomo, bila matangazo kwenye simu, spika na vifaa vyako vingine. Lipa kwa kutumia njia mbalimbali. Ghairi wakati wowote.

 • Bila malipo kwa mwezi 1

Premium ya Binafsi

BILA MALIPO

KWA MWEZI 1

 • Akaunti 1 ya Premium

 • Ghairi wakati wowote

Bila malipo kwa mwezi 1, kisha US$ 2.99 kwa mwezi baada ya hapo. Ofa inapatikana kwa watumiaji ambao hawajajaribu Premium. Masharti yatatumika.

Premium Duo

US$ 3.99

KWA MWEZI

 • Akaunti 2 za Premium

 • Ghairi wakati wowote

Kwa wachumba wanaoishi katika nyumba moja. Masharti yatatumika.

Premium ya Familia

US$ 4.99

KWA MWEZI

 • Hadi akaunti 6 za Premium

 • Dhibiti maudhui yaliyowekewa lebo kuwa ni dhahiri

 • Ghairi wakati wowote

Kwa hadi wanafamilia 6 wanaioshi katika nyumba moja. Masharti yatatumika.

Una maswali?

Tuna majibu.

Pata majibu ya maswali zaidi hapa.

 • Je, jaribio la Spotify Premium linafanyaje kazi?

  Ikiwa hujawahi kutumia Premium hapo awali, huenda ukastahiki kupata jaribio lisilolipishwa (au punguzo la bei).

  Kwa majaribio yasiyolipishwa, bado unahitaji kuweka njia sahihi ya kulipa ili ujisajili. Tutaitumia kuthibitisha nchi au eneo lako na kukutoza iwapo ungependa kuendelea kutumia Premium baada ya kipindi cha ofa kuisha.

  Tutakutumia kikumbusho siku 7 kabla ya jaribio lako kuisha. Vikwazo vya nchi na masharti yatatumika.

 • Ninawezaje kughairi kifurushi changu cha Premium?

  Unaweza kughairi kwa urahisi kifurushi chako cha Premium wakati wowote mtandaoni kwenye ukurasa wa akaunti yako. Utaendelea kutumia kifurushi chako cha Premium hadi tarehe yako inayofuata ya malipo, kisha akaunti yako itabadilishwa ili utumie kifurushi chetu kisicholipishwa.

  Utaendelea kutumia orodha zote za kucheza, muziki uliohifadhi na utaendelea kusikiliza muziki na matangazo wakati akaunti unayotumia hailipishwi.

 • Je, Kifurushi cha Premium Duo kinafanyaje kazi?

  Premium Duo ni kifurushi cha wachumba wanaoishi pamoja. Ina bei nafuu zaidi ikilinganishwa na kutumia akaunti mbili zinazotozwa bei kamili za Premium ya Binafsi. Tutawaomba anwani yenu ili kuhakikisha mnaishi pamoja. Unaweza kualika mshiriki kwenye kifurushi mara baada tu ya ununuzi. Kila mshiriki atakuwa na akaunti yake tofauti ya Premium na anaweza kusikiliza kwa wakati mmoja akitumia akaunti yake mwenyewe. Muziki na orodha zote za kucheza atakazohifadhi ni zake mwenyewe. Mmiliki mwingine wa akaunti hataweza kuona unachosikiliza.

  Pata maelezo zaidi kuhusu Premium Duo.

 • Je, kifurushi cha Premium ya Familia kinafanyaje kazi?

  Premium ya Familia ni kifurushi kwa hadi wanafamilia 6 wanaoishi pamoja. Ina bei nafuu zaidi ikilinganishwa na kila mtu akitumia akaunti yake mwenyewe inayotozwa bei kamili ya Premium ya Binafsi. Tutawaomba anwani yenu ili kuhakikisha mnaishi pamoja. Unaweza kualika washiriki kwenye kifurushi mara baada tu ya ununuzi. Kila mshiriki atakuwa na akaunti yake tofauti ya Premium na anaweza kusikiliza kwa wakati mmoja akitumia akaunti yake mwenyewe. Muziki na orodha zote za kucheza atakazohifadhi ni zake mwenyewe. Wamiliki wengine wa akaunti hawawezi kuona unachosikiliza.

  Pata maelezo zaidi kuhusu Premium ya Familia.

 • Je, Spotify Premium ni bei gani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo?

  Bei za Spotify Premium nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zinatofautiana kulingana na kifurushi cha Premium unachochagua: Kifurushi cha Spotify cha Premium ya Binafsi kinagharimu US$ 2.99 kwa mwezi, kifurushi cha Premium Duo kinagharimu US$ 3.99 kwa mwezi, kifurushi cha Premium ya Familia kinagharimu US$ 4.99 kwa mwezi. Ikiwa hujawahi kutumia Premium hapo awali, huenda ukastahiki kupata jaribio lisilolipishwa (au punguzo la bei). Vikwazo vya nchi na masharti yatatumika.