Kituo cha Ufikivu

Kuleta ubunifu, ufikivu na kuhamasisha watu wote.

  • Taarifa ya Ufikivu
  • Kuelewa Ufikivu katika Spotify
  • Jinsi ya kuwasiliana nasi

Taarifa ya Ufikivu

Katika Spotify, tunasherehekea ubunifu wa binadamu na tunajitahidi kuhakikisha mfumo wetu unatumika na watu wote, ikiwa ni pamoja na mamilioni ya wasanii na mabilioni ya wasikilizaji. Kwa kujifunza kutoka kwa wataalamu na kuwaajiri watu wenye uzoefu wa masuala ya ufikivu, tunafanya kazi kuhakikisha bidhaa zetu zote zinazingatia ufikivu. Kwa pamoja, tunalenga kuwezesha kila mtu kuunda, kugundua na kuhamasishwa.

Jinsi ya kuwasiliana nasi

Kwa maswali au hoja zozote kuhusu ufikivu, wasiliana nasi kupitia mojawapo ya njia hizi:

Kwa maswali yote ya jumla, tafadhali wasiliana na Huduma kwa Wateja kupitia:

https://support.spotify.com/article/contact-us